VIDEO: Kiongozi wa Waislam Dar, ategewa 'Bomu' Nyumbani kwake

Nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhari Jijini Dar es salaam Sheikh Khalifa Khamisi imenusurika kuteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana ambao wanaidiwa kutega vitu vinavyodaiwa kuwa milipuko majira ya usiku.

Kwamujibu wa Sheikh huyo ambaye makazi yake yapo Kinondoni, Magomeni mtaa wa Lalago, tukio hilo limetokea majira ya saa nane na dakika 3, usiku wa kuamkia leo ambapo na likadumu kwa zaidi ya nusu saa, na ilipofika asubuhi jeshi la polisi liliwasili katika nyumba hiyo kwa uchunguzi zaidi.

Jitihada za kumtafuta Kamanda za Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni zinaendelea. Licha ya kumtafuta kwa njia ya simu bila mafanikio


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com