VIDEO: Kauli ya Ruge baada ya Makonda na Wahariri kukutana

August 9 2017 ulifanyika mkutano na Waandishi wa habari ukimuhusisha Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Ruge Mutahaba, RC wa DSM Paul Makonda na Jukwaa la Wahariri kuhusu ishu ya kufungiwa kwa habari za Mkuu wa mkoa Paul Makonda. 

Baada ya mkutano huo na mengine yaliyojadiliwa na kauli zilizotolewa ikiwemo ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kusema hawezi kuomba radhi, Ruge Mutahaba kwa upande wake alieleza msimamo wa CLOUDS MEDIA.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com