Mbunge Esther Matiko anasakwa kwa madai ya kuchochea ulimaji wa bangi

Taarifa ya CHADEMA imeeleza kuwa, Polisi wanamsaka Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (CHADEMA) kwa madai ya kuchochea ulimaji wa bangi.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com