Mama anayemuacha mwanae mdogo peke yake asubuhi hadi usiku kila siku

Hekaheka ya leo August 7, 2017 inamuhusu mama ambaye analalamikiwa na majirani akidaiwa kumuacha mtoto wa miaka mitatu mtaani kuanzia saa 12 Asubuhi hadi saa 3 Usiku bila kujua anakula wapi wala anacheza wapi.
Mama huyo amelalamikiwa na majirani ambao wanasema amekuwa akimuachia mtoto huyo Tsh. 1000 huku akidai kumuacha mtoto huyo kwa mama muuza mboga ambaye pia hashindi nyumbani.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza mkasa mzima..

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com