Lowassa atikisa Kenya kwenye Kampeni za Uhuru KenyattaMhe. Edward Lowassa leo alikua katika mji Narok eneo la suswa, Kenya, kama kiongozi wa kabila la wamasai Afrika mashariki kuazimia kwa pamoja kumuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta. 

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com