AUDIO: Rais Magufuli ampa Onyo la Mwisho Waziri Wake Huko Tanga

Rais John Magufuli amemuonya kwa Mara ya Mwisho waziri wa Viwanda na Bishara Charles Mwijage kuwa aache woga na badala yake awanyang'anye viwanda wawekezaji wote walioshindwa kuviendeleza viwanda walivyobinafsishiwa

"Waziri Mwijange kwenye mambo mengine ni safi sana, kwenye kunyang'anya tu viwanda ndio muoga, kwa nini unaogopa, unawaogopa ambao hawajakuteua mimi niliyekuteua ndio huniogopi?" amesema Rais Magufuli hii leo huko Tanga

Amemtaka waziri Mwijage achukue hatua na hapendi aje kulirudia tena agizo hilo

Msikilize Rais Magufuli hapa Chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com