AUDIO: OCD ampa Masharti DC Makete ili atekeleze Agizo lake

Mkuu wa polisi wilaya ya Makete Afande Maganga amezungumzia hatua ambazo jeshi la polisi limezichukua mpaka sasa kuhusu wanafunzi watano wa shule ya sekondari Kipagalo waliopatiwa ujauzito

Pia ameelezea ugumu wa kutekeleza agizo la Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Veronica Kessy la kumtaka awakamate wazazi wa wahusika waliowapatia ujauzito wanafunzi hao na wakakimbia

"Mkuu sheria haitaki nimkamate mbadala wa aliyetenda kosa, kwani anaweza kunishitaki mahakamani na ikawa shida kwangu" amesema OCD Maganga

Msikilize hapa chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com