AUDIO: Mbunge wa CUF aukubali Mziki wa Rais Magufuli

Mbunge wa Tanga mjini Kupitia CUF, amesema nyumba ina milango mingi na kila mtu anatumia mlango aupendao kupita ili aingie ndani, hivyo amesema haijalishi yeye kaupata ubunge kwa chaa gani lakini sasa ni wakati wa kufanya kazi

Ameyasema hayo mkoani Tanga mbele ya Rais John Magufuli muda mchache kabla ya kuzindua kiwanda cha Kilimanjaro kilichopo Tanga kwa ajili ya kutengeneza saruji

Msikilize mwenyewe alichokisema hapa chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com