AUDIO: DC Makete atoa maamuzi, Ni baada ya wanafunzi 5 wa shule moja Kupewa Mimba

Vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia vinavyotokea katika wilaya ya Makete mkoani Njombe havina budi kuendelea kupigwa vita na kila mtu ili kuwanusuru watoto hasa wa kike
Hayo yamebainika katika kikao cha mwaka cha timu ya Ulinzi wa mtoto kilichofanyika jana katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete kilichowashirikisha pia wadau mbalimbali wa masuala ya watoto
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Veronica Kessy mbali na kukemea vitendo hivyo lakini pia ameonesha masikitiko yake baada ya kupokea taarifa za wanafunzi watano wa shule ya sekondari Kipagalo kupata ujauzito ndani ya mwaka huu
Bonyeza hapo chini Umsikilize:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com