Waziri Makamba ametengua uteuzi wa wajumbe 7 bodi ya NEMC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira,January Makamba ametengua uteuzi wa wajumbe wote saba wa bodi ya NEMC na kumteua Dkt. Elikana Kalumanga (UDSM) kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.
Soma taarifa kamili:
Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com