VIDEO: Taarifa Rasmi na Vigogo wa CHADEMA Kuswekwa Rumande huko Ruvuma


Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi 6 wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia chama hicho Mhe Zubeda Sakuro kwa tuhuma za  kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa na kuzua vurugu wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.


Hii hapa video ya taarifa yake.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com