Usafi wa Mazingira leo Barabara ya Lami Tandala Makete
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Tandala Hususan kitongoji cha Utsewa wilayani Makete mkoani Njombe hii leo wamejitokeza kufanya usafi katika barabara ya Lami ambapo kumekuwa na takataka zinazotupwa na baadhi ya abiria ambao sio waaminifu wanaosafiri katika mabasi ya abiria

Tukio hilo limefanyika hii leo kama walivyokutwa na mwandishi wetu

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com