Rais wa Tanzania ni mmoja tu – Jerry Muro

Mwandishi wa habari na aliyekuwa Msemaji wa Club ya Yanga, Jerry amesema kuwa Rais wa Tanzania ni mmoja tu huku akisema mwingine akijiita Rais asubiri moto wake.
Jerry Muro ameyabainisha hayo leo kupitia ukurasa wake wa instagram hivi:
Rais wa Tanzania ni mmoja tu.
Hawa wengine
Rais wa TLS Rumande
Rais wa TFF Rumande
Rais wa Yanga Rumande
Rais wa Simba Rumande
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
#utanikamakweli
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.
Na Emmy Mwaipopo

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com