Picha: Bweni la Shule ya Sekondari Philip Mangula Lateketea kwa MotoWanafunzi 18 Wa Shule Ya Sekondari Philip Mangula Iliyopo Kata Ya Imalinyi Wilayani Wanging'ombe Wamejeruhiwa Katika Ajali Ya Moto Iliyotokea Majira Ya Saa Moja Jioni ya jana.

Katika Ajali Hiyo Imeelezwa Kuwa Bweni la Wavulana Ndilo Limeungua Na Mali Zote Za Wanafunzi Zilizokuwamo Humo.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com