Mume asimulia jinsi mkewe wa watoto 4 alivyompa kichapo cha mbwa

- Mwanamume mmoja Kiambu amejitokeza kufichua jinsi alitandikwa na mkewe kwa muda mrefu 

- Mwanamume huyo vilevile alifichua jinsi mkewe alivyotengeneza vyeti bandia vya kifo chake na kuuza nyumba yake 

- Kisaha alitoweka na naibu chifu wa eneo hilo aliyemsaidia kumhangaisha mwanamume huyo 

- Alimwacha na watoto wanne, yule mdogo akiwa na miezi tisa Mwanamume mmoja Kiambu amegeuka gumzo mitaani baada ya kujitokeza kufichua jinsi aliyekuwa mkewe alivyompiga mara kadha kabla ya kutoweka na naibu chifu wa eneo hilo. 

Habari Nyingine: Wakenya wamshambulia binti wa gavana wa NASA kwa kujihusisha na "ukahaba" James Njenga alizungumza na Citizen TV kuhusu amsaibu yake na jinsi ameweza kuyashinda na kuishi maisha ya kawaida. 

Njenga hakuwa mtu maskini wala mlevui wakati mkewe waliyezaa pamoja watoto wanne alipomtema baada ya miaka kadha ya kumdhulumu. 


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com