Maamuzi kutoka Klabu ya Simba

Kamati ya Utendaji ya Simba SC imemteua Salim Abdallah na Iddy Kajuna ambao ni wajumbe wa kamati ya Utendaji kusimamia majukumu ambayo yalikuwa yakifanywa na Rais wa klabu Evans Aveva na Makamu wa Rais, Geofrey Nyange Kaburu.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com