Lissu: Lipumba ni Msaliti Kama Yuda

Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa unatangaza vita na CUF ya Profesa Ibrahim Lipumba kama walivyo vitani na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Lissu ameyasema hayo leo wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni, Jijini Dar es salaam.
“Profesa Lipumba ametusaliti kwa kuwa yeye ndiye aliyempitisha Lowassa kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya Ukawa. CUF ya Lipumba ilitusaliti kama Yuda Iskarioti alivyomsaliti Yesu Kristo,”amesema Lissu.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com