Habari Picha ajali mbaya yatokea Car Wash

June 30, 2017 manamo majira ya mchana gari la mzigo lenye number za usajili Z 737 AX, ambalo lilikua na shehena ya mchanga lime pinduka na kuelemea gari ya abiria ya FUONI SAATENI.
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa rasmi………….
Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com