CAF yaifutia uanachama Zanzibar, yasema haiwezi kuwa na vyama viwili kutoka Tanzania

Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) leo limeifutia uanachama wa Zanzibar ikiwa ni miezi 4 baada ya kupewa uanachama huo.

Rais wa CAF amesema kuwa wamechukua uamuzi huo kwakuwa hawawezi kuruhusu kuwa na vyama viwili kutoka nchi moja(Yaani TFF na ZFA).

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com