AUDIO: Mpya Kutoka Kijiji cha Ndulamo Makete Muda huu

 Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ndulamo Bw. Majuto Mbwilo akizungumza na Mwandishi wetu.
Muonekano wa zahanati ya Ndulamo
;;;;;;;;;;;;;;;;;

Wananchi wa kijiji cha Ndulamo wilayani Makete mkoani Njombe wamejitokeza kwa wingi kuanza maadalizi ya ujenzi wa nyumba ya Mganga wa zahanati ya kijiji hicho ambapo hii leo wameanza kwa kuandaa uwanja

Akizungumza na kituo cha Redio Green FM Afisa mtendaji wa kijiji hicho Majuto Mbwilo amesema halmashauri imewapatia mradi wa ujenzi wa nyumba ya mganga hivyo wananchi tayari wamenza kushirikiana na serikali kuhakikisha nyumba hiyo inajengwa

Afisa mtendaji huyo amesema kwa kuwa wananchi wake ni wapenda maendeleao anaimani ujenzi wa nyumba hiyo ya mganga ambao unahitaji nguvu za wananchi pia, wananchi wake wapo tayari kwa utekelezaji wa suala hilo

Hata hivyo ametoa wito kwa wananchi wake kuhusu ujenzi huo, Bonyeza Play hapo chini usikilize sauti zake hapo:-


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com