VIDEO: Jinsi Mgeni Rasmi alivyoongoza watu Kufyeka Miti kwenye chanzo cha Maji Makete

Leo ni maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani, kwa wilaya ya Makete maadhimisho hayo yamefanyika kata ya Mang'oto kijiji cha Mang'oto wilaya ya Makete mkoani Njombe

Pamoja na yote aliyofanya Mgeni Rasmi Eliab Simba kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Makete, ni pamoja na kuongoza zoezi la kukata miti isiyo rafiki katika chanzo cha maji Mang'oto

Bonyeza Play hapo chini ujionee ilivyokuwa:-


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com