Picha za ajali iliyomuua Ally Yanga Leo


 Ajali hii imetokea barabara ya Wiyenzele kuelekea chipogoro mtu mmoja amepoteza maisha hapo hapo. Aliyefariki ni mshabiki  maarufu wa timu ya Yanga, anaitwa Ally Yanga


Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com