Maalim Seif ampongeza Rais John Magufuli kwa uteuzi huu


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi Maalimu Seif Sharif Ahamad amesema kuwa Rais Magufuli amefanya jambo la kihistoria nchini kwa kufanya uteuzi wa watendaji wake kutoka kwenye upinzani.


Maalimu Seif amesema Hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Ofisi ya wabunge wa CUF iliyokuwepo Magomeni jijini Dar es Salaam.

"Ana Mamlaka kikatiba kumteua yoyote,"

amesema kuwa jambo hilo sio geni kwenye nchi zilizoendelea  kama vile Ulaya na Amerika ambapo Hata Rais Mstaafu wa US Barack Obama aliwahi kufanya hivyo.


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com