Kung'olewa Kibao: Meya amvaa mtu anayeitwa Daudi Bashite


Boniface Jacob  Meya wa Maspaa ya Ubungo amesema  kuwa Mpango wa kuondolewa kwa bango la Mtaa wa Mchezaji wa Soka Nchi uengereza ni Mapango ulioratibiwa kwa chuki za kisiasa kwake,


amsema kuwa kitendo hicho kimedhihiirisha chuki kutokana na dalili za uwepo wa Meya huyo wa Chadema katika mchakato wa kuupa mtaa huo jina la Mchezaji Wanyama ambaye yupo Nchini kwa Matembezi.
Meya jacob amasema kuwa mchezaji huyo aliyekubali kushiriki kuangalia ligi ya ndondo Cup aalionesha nia ya kuwasaiid vijana wa kitanzania wenye hamsa ya kucheza soka lenye tija.Jacob kitendo hicho ambacho si cha kiungwana kinaweza kumkatisha tamaa mchezaji huyo ambaye angweza kuwa rafiki nzuri wa Tanzania na kupata tija kupitia mlango wa soka. jacob amefafanua taratibu za kuupa mtaa jina kuwa zilipita kwenye uongozi wa mtaa wa viwandani nao waliriridhia na wana mamlaka ka Serikali ya Mtaa.

Angalia alichokipost kwenye Ukurasa wake wa Facebook


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com