Kijana akamatwa baada ya kujivika mavazi ya kike ili amfanyie Mpenzi wake Mtihani

ZIMBABWE: Kijana mmoja wa kiume amekamatwa baada ya kujivika mavazi ya kike ili aweze kufanya mtihani kwa niaba ya mpenzi wake.
- Baada ya kuhojiwa kijana huyo amesema kuwa aliamua kufanya hivyo kwakuwa mpenzi wake huyo amefeli mtihani huo mara nne.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com