IGP Sirro alivyokwenda Kibiti na Mkuranga leo

Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo.
Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com