Hii Ndiyo Neema itakayowadondokea wakulima wa Tangawizi Ruvuma na Tanga

Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma Joseph Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Mlalo Mkoani Tanga Mh. Rashidi Shangazi , wazungumzia jitihada wanazozifanya za kuwakwamua wakulima wa zao la Tangawizi.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com