Angalia Jinsi Mawaziri walivyoitwa IKULU Leo na Rais Magufuli

Picha mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo tarehe 26/06/2017 Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com