ACT Wazalendo wamng'oa Mwenyekiti wao Madarakani

June 6, 2017 Katibu wa Itifaki na Uenezi na Mawasiliano ya Ummma wa ACT Wazaledo Ado Shaibu ametoa taarifa iliyosema kuwa Kamati ya uongozi ya chama hicho itakutana June 7, 2016 kutafakari namna ambavyo Anna Mghwira atatekeleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya. Basi ilipofika leo Majira ya Saa tisa alasir chama hicho kupitia Kaimu Kiongozi mkuu SamsoN Mwigamba wametamka kuwa Anna Mghwira hataweza tena kuendelea Mwenyekiti wa chama hicho

 Haya ndio maamuzi waliotoa ACT- wazalendo kuhusu Anna Mghwira


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com