ACT Wazalendo: Rais ashauriane na chama husika kabla ya Kuteua

Kamati ya Uongozi wa Chama Cha Act-Wazalendo, wamemshauri Rais John Magufuli kufanya mashaurino na kwa vyama vya siasa anapomchagua mwanachama wa chama husika ili kuepuka migongano.

Hayo yameelezwa leo na Kaimu Kiongozi wa Chama hicho Simon Mwigamba alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu hatma ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Anna Mghwira ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

"Pamoja na kwamba Rais kama mkuu wa nchi anayo Mamlaka ya kuteua yeyote amtakaye lakini ni afya ma hekima teuzi hizo kufanywa kwa kushauriana  na viongozi wa vyama husika" 

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com