Walioivuruga Simba, Kesho mchana wanatinga Yanga


Klabu ya Yanga Mei 17, 2017 saa 6 mchana inatarajia kutilia saini kandarasi ya udhamini na Kampuni ya SportPesa. kama utakuwa na kumbukumbu sahihi kampuni ndio imeongia mkataba wa miaka 5 na Simba Sc kwa shilingi Bilioni 4.9, mkataba ambao umeibua mvurugano baina ya Viongozi wa klabu hiyo.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com