VIDEO Inasikitisha: Ateseka kwa miaka 2 baada ya kuchomwa sindano za sumu

Kijana Suleiman A. Abdallah, ambaye kwa sasa yupo wete pemba alichomwa sindano za sumu takriban miaka miwili iliyopita katika jiji la Dar es Salaam. 

Sindano hizo za sumu zimepelekea kufeli kwa mfumo wa uzalishaji damu pamoja na kansa ya Figo.
Mwandishi Salmin J. Salmin alimtembelea Bw. Suleiman, msikilize hapo chini uweze kusikia kisa hichi cha kusikitisha.


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com