Ugeni wa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam Leo

Kamanda Cameron Steily akimueleza jambo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alipomtembelea ofisini kwake leo.
Image may contain: one or more people, people sitting, table, living room and indoorMstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam kulia akiwa na Kamanda Cameron Steily ofisini kwake leo .Image may contain: one or more people, people sitting, table and indoorImage may contain: 1 person, standing, drink and indoorKamanda Cameron Steily kushoto akimkabidhi Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita zawadi , alipomtembelea ofisini kwake leo kwa lengo la kusalimia.

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ametembelewa ofisini kwake na Kamanda wa kikosi cha Maji Nchini Australia Cameron Steily ambapo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kumkaribisha jijini hapa. Kamanda Cameron ataondoka jijini hapa Mei 15.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com