Uamuzi wa serikali kuhusu Madai ya Yule Mama aliyeibiwa Mtoto wake

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilipata taarifa toka Ofisi ya mkoa wa Dar es salaam na vyombo vya habari kuhusu malalamiko Bi Asma Juma kuibiwa mtioto wake Pacha alipojifungua katika hospitali ya Temeke mnamo tarehe 19/3/2017.
Hivyo kupitia malalamiko hayo wizara ililazimika kufanya uchunguzi ambao uliibuka na majibu yafuatayo-:



Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA)



 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com