Rais Kenyata asimamisha Mkutano wake kwa kuomboleza vifo vya wanafunzi 32 Arusha

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametumia muda wake akiwa kwenye mkutano wake wa kisiasa kutoa salamu za pole kwa Watanzania kutokana ajali iliyoua 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa darasa la 7.

Kenyata alisima pamoa na Mkutano wake kwa muda na kuomba mkutano huo usimame kwa heshima ya watoto wengi wengi  karibu 32  waliofariki Tanzania

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com