Nape anakupa Taarifa hii Muhimu, Kuhusu kinachoendelea kwenye Facebook yake

"Kuna acc za facebook zinasambazwa kuwasema viongozi kwa jina langu SIO ZANGU SINA ACC ZA FACEBOOK! Naamini serikali itawadhibiti wahuni hawa!‬"- Ameandika Nape kupitia Ukurasa wake wa Instagram

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com