Lipumba: Niko Tayari kuachia Uenyekiti wa CUF

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa Prof Ibrahim Lipumba amesema hausiki na suala la kupigwa waandishi wa habari katika mkutano wa CUF hivi karibuni na wala hakuwatuma watu kusababisha hayo yote

Kauli hiyo imetolewa na Prof Lipumba hii leo wakati akizungumza kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, ambapo pia amesema suala la waandishi hao wa habari walioshambuliwa na kuumizwa analipinga na kuwa sio kitendo kizuri

"Mimi sihusiki nalo suala la kupigwa wale waandishi wa habari ni kitendo kibaya" amesema Prof Lipumba

Pia amesema yeye yuko tayari kuondoka katika chama cha CUF na kuwa haoni sababu ya kuwa king'ang'anizi


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com