Kuhusu kuchunguzwa kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema linafatilia kwa karibu uhusiano wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na vyombo vya habari kutokana na kuwepo kwa matukio ya kudhalilisha wanahabari wawapo kazini kwa amri yake.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com