Ilichokifanya Mahakama leo Kuhusu Kesi ya Wema Sepetu

LEO Mei 2, nyota wa sinema za Bongo, Wema Sepetu, alipanda tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar kusikiliza kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya ambapo upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili msanii huyo.
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ameahirisha kesi hiyo mpaka June 1, mwaka huu ambapo mahakama itasikiliza maelezo ya awali ya upelelezi huo.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com