Habari za hivi punde: Upepo Mkali waathiri Makazi ya Watu Nyarugusu Zanzibar

Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari ni kuwa upepo mkali ulioambatana na mvua umesababisha kuezuka mapaa ya nyumba na baadhi ya nyumba kuanguka.
Tunaendelea kufuatilia eneo la tukio na tutawaletea taarifa zaidi.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com