CCM Ikiendelea Hivi Wananchi Hawatairudisha Madarakani - Nape


Nape Nnauye amesema serikali ilipoingia madarakani iliongeza mapato, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na tunaambiwa uchumi unakua kwa asilimia 7.2 lakini haya hayatakua na maana kama hayatatafsiriwa kwenye kuboresha huduma za jamii hasa maji

Amesema tunatakiwa tuone matokeo ya hatua hizi kwenye maboresho ya huduma za kijamii hasa maji la sivyo hazina maana

Amesema bajeti iliyopita imetengwa bilioni 900 na bajeti hii bilioni 600 hapo watanzania hawawezi kuilewa na ukuaji wa uchumi hauwezi kubaki kwenye makaratasi

Amesema ilani ya CCM ndio mkataba kati ya CCM na wananchi na wasiposhughulikia kama walivyoahidi basi wananchi hawatawarudisha


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com