AUDIO: Dakika 9 za Mbunge wa Makete akichangia Bungeni

Mbunge wa jimbo la Makete Prof Norman Sigalla ni miongoni mwa wabunge kadhaa walioguswa na bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi hasa suala la wanafunzi kupewa ujauzito

Suala hilo limemuibua bungeni ambapo wakati akichangia amesema mbali na kifungo cha miaka 30 kwa wanaowapa mimba wanafunzi, pia itungwe sheria waliowapa mimba wagharamie suala la elimu ya msichana huyo

Msikilize akiongea mengi katika sauti hii yake hapa chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com