Ajali Lusanga Muheza: Watu 4 Wafariki Dunia, 15 Wajeruhiwa

Watu 4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado tunafatilia Habari kwa kina

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com