Tazama LIVE: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa Reli ya kisasa DSM-Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 12, 2017 anaweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Unaweza kubonyeza play kutazama moja kwa moja hapa chini…

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com