"Nilikuwa naisema sana Serikali, sasa hivi nitakuwa naijibia tu" asema Prof Kitila


Prof. Kitila amesema katika maisha yake ametumia muda mwingi kuihoji serikali lakini kwa sasa Rais amempa kazi ya kujibu alichokuwa anakihoji serikalini.

''Ukipewa kazi na Mkuu wa Nchi unashukuru Mungu na jukumu langu ni kufanya kazi kwa bidii. Ninaahidi nitakusaidia wewe na Mweshimiwa Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kuhakikisha kwamba ajenda yako ya kuwafikia Watanzania na kuwaboreshea maisha tunaifanikisha'' Prof. Kitila Alisema.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com