News Alert: Msanii Roma na Wenzake Wapatikana

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema msanii Roma Mkatoliki na wenzake waliotekwa tangu juzi wamepatikana

Kwa mujibu wa kurasa za twitter za kwanza tv na jamii forums zimeripoti kuwa Roma na wenzake wamepatikana na kwa sasa wapo Kituo cha polisi ostabey jijini Dar es salaam

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa


Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com