Mbunge aliyetishiwa na Makonda Huyu Hapa.....Atoboa Siri

Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly amesema yeye ni mmojawapo wa wabunge waliotishwa na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda  mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Amesema hayo leo wakati akichangia hotuba ya bajeti waziri mkuu na taasisi zake kwa mwaka 2017/18.

Amesema yuko tayari kutoa ushahidi ukihitajika na kwamba anaogopa kwenda mkoa huo hivi sasa ingawa anapatamani.


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com