Hussein Bashe afanya kweli Jimboni Kwake


 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (kushoto), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la wagonjwa juzi

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com