Breaking News: Roma Mkatoliki Aongea haya LIVE

cloudstv#TumeongeaNaRoma : @roma2030 amezungumza nasi sasa hivi. 

Amesema wao ( yeye na washkaji wengine ) ni wazima. Kwa sasa hawawezi kuongea zaidi ya hayo kwa sababu za kiusalama (upelelezi haujakamilika) lakini J3 watazungumza yote katika mkutano na waandishi wa habari. kwa mengi zaidi msikilize Roma Mwenyewe akiongea

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com