AUDIO: Vigogo Hawa wa Simba wayakataa Maandamano ya Jumanne

Zikiwa zimesalia siku chache kufikia Aprili 25 mwaka huu ambapo nis siku ya Klabu ya Simba kufanya maandamano yake, baraza la wadhamini la Klabu hiyo limepinga hatua hiyo

Baraza hilo limesema lenyewe haliungi mkono maandamano hayo, na badala yake wao nasubiri kuona matokeo ya maandamano hayo

Mwenyekiti wa baraza la wadhamini  Mzee Hamisi Kilomoni amesema yeye hayumo katika hayo maandamano, kama alivyokuwa akizungumza kupitia kipindi cha E-Sport cha 93.7 EFM

Bonyeza hapa chini umsikilize alivyofunguka>>>>>>

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com